Thursday, 21 March 2013

Ziwa Challa na harakati za kukuza Utalii na Uwekezaji

Muonekano wa Kuvutia wa Ziwa Chala Wilaya ya Rombo

Utalii wa Ndani ni sehemu muhimu ya kuongeza Mapato ya Serikali

Picha ikionyesha mteremko (escarpment) wa Ziwa Chala


Mabango yakielekezaWananchi

Watalii wakiogelea Ziwani

Uvuvi ni mojawapo wa shughuli za Kiuchumi katika Ziwa Challa

Mtalii akiongea na Wenyeji

Ziwa Chala kutoka angani




Ziwa Challa ni mojawapo wa kivutio cha Watalii katika Wilaya ya Rombo. Ziwa hili linalopatikana katika Mpaka wa Kenya na Tanzania bado halijatumika vizuri kuwanufaisha Wakazi wa Rombo

No comments:

Post a Comment