Tuesday 16 July 2013

Mengi: Waliokamatwa na unga ni chambo

MWENYEKITI Mtendaji wa Kampeni za IPP Media, Regnald Mengi amejitosa katika sakata la wasichana waliokutwa na dawa za kulevya nchini Afrika Kusini.
Akizungumza na wanahabari Dar es Salaam jana, Mengi alidai kuwa wasichana waliokamatwa na dawa hizo wanatumika kama chambo kwani wapo vigogo waliowatuma kufanya shughuli hiyo.
Hivi karibuni wasichana wawili raia wa Tanzania walikamatwa Afrika Kusini wakiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya sh. bilioni 6.8 na kwamba walipitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Mengi alibainisha kuwa vita dhidi ya dawa za kulevya inakwama kutokana na vitendo vya rushwa. Alisema rushwa imekuwa chanzo kikubwa cha watu kujihusisha na biashara ya dawa hizo na hivyo kuleta matatizo kwa vijana.   Alisema watu wengi ambao wanajikita katika rushwa ndiyo wanaojiingiza katika biashara hiyo kutokana na kuwa na fedha nyingi. Kutokana na hali hiyo, alisema wananchi wasipokuwa makini wapokea rushwa ndiyo watakuwa watawala wa nchi.
 (Nyendo Mohamed wa JAMBO LEO - www.jamboconcepts.com)

Wednesday 5 June 2013

MANCHESTER UNITED have stepped up their efforts to make Cristiano Ronaldo the signing of the summer.

The Red Devils are convinced they can take advantage of uncertainty at Real Madrid to bring him back home to Old Trafford.
And they are prepared to offer £65million plus a player to land the superstar, 28, who is still a hero with the United faithful.
Ronaldo is also understood to be keen on the move.
He has turned down offers from Real Madrid to sign a new deal with only two years left on his current contract.
Real will not give up trying to keep him.
But they have already made contingency plans to bring in Gareth Bale from Tottenham in a switch worth £80m.
They also know that they cannot afford to let Ronaldo’s contract run down and now would be the last chance to get big money back on him.
Ronaldo has put his house up for sale in Madrid and did not play in Real’s final game of the season after falling out with departing manager Jose Mourinho.
The player left United for Madrid in an £80m move in 2009. While he has won a Spanish title and the Copa Del Rey, he has not always been happy at the Bernabeu.
He missed many of his old team-mates at United and kept in touch with Alex Ferguson.
Ronaldo was disappointed when Fergie retired but he still fancies a return.
United have made contact with his representatives.
Sponsor Nike are also in on the deal.
United would make him their joint top earner with Wayne Rooney on £250,000 a week. While Paris Saint-Germain could top that, it is not just about the money for Ronaldo.
The signing would give David Moyes the perfect launchpad for his Old Trafford reign.(www.thesun.co.uk)

RASIMU YA KATIBA KWENYE MTANDAO - TAHADHARI NA RASIMU FEKI

www.katiba.go.tz

Friday 31 May 2013

AJALI KATIKA BARABARA YA ARUSHA-NAMANGA




Land issues plague Africa as states lease out community land to foreigners


This week the African Union celebrates its 50th anniversary. How far has the continent come in those fifty years?
For one thing, the land that Africans fought to reclaim from foreign colonisers is being once again taken away from them, this time not by force but through purchase — their leaders are literally selling it from under their feet.
This is perhaps the most urgent continent-wide issue the African Union needs to address.
More than 60 per cent of the African population lives in rural areas and depends on land for its survival. However, reports show that in 2010, up to 123.5 million acres of African land — double the size of Britain — had been grabbed from peasants with the help of their governments.

Thursday 30 May 2013

TCRA kuanza udhibiti rasmi wa namba za simu nchini kesho

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kesho inaanza kudhibiti namba za simu za mikononi mpya na zisizosajiliwa kwa kuzifungia. Pia imeishauri Serikali kuongeza kasi katika utoaji wa vishambulisho vya taifa ili viweze kutumika kuwatambua wahalifu .
Akizungumza jana Dar es Salaam, Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Nkoma alisema kuwa hatua hiyo imelenga katika kuhakikisha kwamba inawadhibiti wateja wapya kutotumia namba hizo kabla ya kujisajili.
“Kuanzia June Mosi mwaka huu (kesho),hakuna mtu anayeweza kununua kadi ya namba za simu na kuitumia siku hiyo hiyo. Kuna utaratibu maalumu umewekwa,.Pia kwa wateja wengine tumewapa nafasi ya kuhakikisha wanajisajili na tumeongeza muda hadi Julai 10 wasipojisajili tutawafungia rasmi,” alisema Profesa Nkomwa.
Akifafanua zaidi juu ya msimamo huo Profesa Nkoma alisema ni kosa la jinai kutumia namba ya simu isiyosajiliwa na adhabu yake ni faini ya Sh500,000 au kifungo cha miezi mitatu jela.
Akijibu lawama zinazoelekezwa kwa TCRA kwa kushindwa kudhibiti matumizi ya simu kwa njia ya usajili, alisema kumekuwa na tatizo linalotokana na baadhi ya wahalifu kugushi kwa kuandika taarifa za uongo na picha zisizowahusu.
Alisema pia kuna haja ya watu kubadili tabia kwa kuwaripoti watu wanaofanya matukio ya uhalifu yanayohusisha simu za mkononi hasa wizi au lugha chafu, udanganyifu na usaliti.
“Simu naweza kuifananisha na kisu. Kinasaidia kama matumizi ni mazuri, lakini mhalifu anaweza kukitumia kudhuru,”alisema Prof.
Profesa Nkoma.

SERIKALI IMESHINDWA KUDHIBITI BODABODA?

Kama kuna eneo ambalo Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa ni udhibiti wa usafiri wa pikipiki, maarufu kama Bodaboda. Udhaifu huo umetoa mwanya kwa waendesha Bodaboda kuweka kando sheria za usalama barabarani na kufanya usafiri huo kuwa janga la kitaifa kutokana na kusababisha ajali zinazoua maelfu ya watu kila mwaka, huku maelfu ya majeruhi wakiwa wamepoteza viungo muhimu katika miili yao.
Licha ya Jiji la Dar es Salaam kuwa machinjio makuu ya wahanga wa ajali hizo, tatizo hilo limeikumba Tanzania Bara kuanzia kata hadi makao makuu ya mikoa. Waendesha Bodaboda na abiria wao wanakufa ovyo kila siku katika ajali. Serikali imebaki kuwa mtazamaji na kujivua jukumu la kuhakikisha kwamba inalinda maisha ya raia wake.
Taarifa za Jeshi la Polisi zimethibitisha kuwapo watu wengi wanaopoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya katika ajali hizo, hivyo kupoteza rasilimali kubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa mfano, takwimu za ajali hizo mkoani Dar es Salaam zinatisha. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema watu 1,875 walikufa jijini katika kipindi cha 2011/12 kutokana na ajali za barabarani, ikiwa ni wastani wa vifo vya watu watatu kila siku. Takwimu za 2012/13 bado zinakusanywa, lakini jeshi hilo linasema idadi ya watu waliokufa nchi nzima tangu mwanzoni mwa mwaka huu ni kubwa mno ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita. Madaktari na wauguzi wamesema wameelemewa na idadi kubwa ya majeruhi hao. Wengi wamepoteza viungo muhimu, hivyo wamebaki kuwa tegemezi. Wamekata tamaa. (www.mwananchi.co.tz)

Wenye divisheni ziro 30,000 wafaulu Matokeo ya Kidato cha Nne, 2012

Wanafunzi 30,063 waliopata daraja sifuri katika matokeo yaliyopita, wameula baada ya kupandishwa hadi daraja la nne kutokana na ukokotoaji upya wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyofanywa na Baraza la Mitihani la Taifa (Nacte) na kutangazwa jana.
Marekebisho hayo yalifanyika baada ya kufutwa kwa matokeo ya awali yaliyotangazwa Februari 18, mwaka huu.
Kufutwa kwa matokeo hayo, ilikuwa ni utekelezaji wa sehemu ya mapendekezo ya Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baada ya wanafunzi 240,909 kupata daraja sifuri kwenye matokeo yaliyotangazwa mara ya kwanza.
Akitangaza matokeo hayo jana, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa alisema sasa watakaokuwa na sifuri ni 210,846 sawa na asilimia 56.92 wakati wavulana wakiwa ni 104,259 na wasichana 106,587.
Hiyo ina maana kuwa sasa ufaulu umepanda na kuwa asilimia 43.08 badala ya ule wa kwanza ambao ulikuwa asilimia 34.5.
Dk Kawambwa alisema kutokana na ukokotoaji mpya wa matokeo ya sasa, idadi ya wanafunzi waliofaulu mtihani huo kwa daraja la kwanza mpaka la nne imeongezeka na kufikia wanafunzi 159,747 kutoka 126,847.
Wanafunzi waliopata daraja la kwanza ni 3,242 wavulana wakiwa ni 2,179 na wasichana 1,063 ikiwa ni asilimia 0.88 ya matokeo yote, daraja la pili ni 10,355 sawa na asilimia 2.8 wavulana wakiwa 7,267 na wasichana 3,088.
Waliopata daraja la tatu ni 21,752 sawa na asilimia 5.87 wavulana wakiwa 14,979 na wasichana 6,773, daraja la nne ni 124,260 sawa na asilimia 33.54 . (www.mwananchi.co.tz)
Tembelea www.necta.go.tz

Friday 24 May 2013

Thursday 23 May 2013

TAKWIMU ZA IDADI YA WATU WILAYA YA ROMBO


SN
WARD
TOTAL
MALE
FEMALE
HOUSEHOLD SIZE
0
Total
260,963
124,528
136,435
4.4
1
Mamsera
9,935
4,859
5,076
4.0
2
Mahida
7,980
3,918
4,062
4.2
3
Mengwe
5,277
2,437
2,840
4.0
4
Keni Mengeni
8,719
4,253
4,466
4.8
5
Aleni
9,801
4,787
5,014
4.3
6
Shimbi
14,591
7,086
7,505
4.4
7
Makiidi
8,720
4,063
4,657
4.3
8
Kelamfua Mokala
13,302
6,097
7,205
4.1
9
Ushiri ikuini
8,879
4,103
4,776
4.4
10
Mrao keryo
8,199
3,766
4,433
4.3
11
Kirwa keni
8,362
3,659
4,703
4.4
12
Katangara mrere
11,642
5,451
6,191
4.5
13
Kisale Msaranga
10,048
4,640
5,408
4.3
14
Olele
6,723
3,134
3,589
4.3
15
Kirongo samanga
14,895
7,106
7,789
4.5
16
Kitirima kingachi
18,420
8,677
9,743
4.6
17
Ubetu kahe
19,295
9,248
10,047
4.6
18
Nanjara reha
26,715
12,989
13,726
4.7
19
Tarakea- motamburu
20,746
10,253
10,493
4.4
20
Motamburu kitendeni
5,603
2,875
2,728
4.5
21
Marangu Kitowo
7,734
3,609
4,125
4.3
22
Ngoyoni
4,038
1,939
2,099
3.9
23
Manda
4,040
1,906
2,134
4.0
24
Holili
7,299
3,673
3,626
3.8