Thursday, 11 April 2013

SANAA NA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI






Mazoezi huimarisha mwili

Sanaa ya Muziki, Maigizo na Michezo mingine imekuwa chanzo cha Mapato na Ajira kwa Vijana wengi ambao hufanya Kazi zao kwa kujituma na kwa Malengo. Hata hivyo Vijana wana Changamoto ya kutumia vyema Umaarufu na Fedha zitokanazo na Kazi zao. Pichani msanii "Diamond" katika picha tofauti. Picha kwa hisani ya mtandao wa "the superstars.blogspot.com"

2 comments:

  1. mbona vijana wa rombo tumekuwa sana katika maendeleo ya wilaya yetu? tumekuwa si wafuatiliaji wa mambo mbalimbali ikiwemo budget ya wilaya na miradi mbalimbali yanayotendeka na kusimamiwa na serikali yetu! tunawaachia wazee wetu wakati wasomi wapo wengi katika wilaya yetu! hehu tuamke vijana!!!

    ReplyDelete
  2. Kijana wa Rombo17 April 2013 at 12:11

    Sioni chochote cha maana katika hii blogspot kinachotuhusu vijana wa Rombo. Ninachokiona ni picha za Diamond ambazo sijui aliyeziweka ana lengo gani, au huyo Diamond ana uhusiano gani na maendeleo kwa vijana wa Rombo? Kwa ujumla kilichomo humu hakishabihiani na jina la blogspot yenyewe. Namshauri mwanzilishi wa hii blogspot afanye kazi zaidi kuiboresha, tuzungumzie fursa na changamoto za maendeleo ya vijana wa Rombo na si picha za Diamond!

    ReplyDelete