Thursday, 11 April 2013

SOKO LA MKUU

Sehemu ya Soko la Mkuu: Soko hili lina eneo dogo la Biashara na lisilopangiliwa vyema hivyo kuwa kikwazo kwa upanuzi wa Biashara. Serikali ina Mkakati wa Kujenga Masoko makubwa ya Kimataifa katika Miji yote ya Mpakani. Je Rombo itafaidikaje na Mkakati huo endapo utatekelezwa? (Picha kwa hisani ya www.woindeshizza.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment