Monday, 22 June 2015

Dola Milioni 16.5 kutumika kulinda Mazingira, kukuza na kuhifadhi Utalii Nchini

Waziri wa Utalii Lazaro Nyalandu akiwa na Balozi wa Marekani Tanzania Mark Childress wakisaini Mkataba wa Kulinda Mazingira  na kukuza Uhifadhi wa Utalii nchini. kazi hiyo itagharimu Dola Milioni 16.5 zitakazotolewa na Marekani

Lunch na Chef Issa - Sweden

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Mtanzania Mtaalam wa Mapishi anayeishi Nchini Sweden maarufu kwa jina la Chef Issa. Issa anaemiliki Mgahawa Nchini Sweden alishinda Medali ya Dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Mapishi akiwa na Timu ya Sweden.

Siku ya Familia na Tanzania Breweries Limited

Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wao kwa ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi.