Kuongoza, Kushiriki, Kushawishi Maamuzi na Maendeleo ya Rombo
Monday, 22 June 2015
Siku ya Familia na Tanzania Breweries Limited
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wao kwa
ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL
iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi.
No comments:
Post a Comment