Waziri wa Utalii Lazaro Nyalandu akiwa na Balozi wa Marekani Tanzania Mark Childress wakisaini Mkataba wa Kulinda Mazingira na kukuza Uhifadhi wa Utalii nchini. kazi hiyo itagharimu Dola Milioni 16.5 zitakazotolewa na Marekani
Kuongoza, Kushiriki, Kushawishi Maamuzi na Maendeleo ya Rombo
Monday, 22 June 2015
Lunch na Chef Issa - Sweden
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Mtanzania Mtaalam wa Mapishi anayeishi Nchini Sweden maarufu kwa jina la Chef Issa. Issa anaemiliki Mgahawa Nchini Sweden alishinda Medali ya Dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Mapishi akiwa na Timu ya Sweden.
Siku ya Familia na Tanzania Breweries Limited
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wao kwa
ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL
iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi.
Subscribe to:
Posts (Atom)