Friday, 24 August 2012

Barabara ya Rongai - Kamwanga


2 comments:

  1. Barabara poa sana! Warombo washindwe kuitumia! Vipi Mkuu-Mwika-Kilacha-Marangu? Imekamilika? Tupe picha!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Barabara ya Tarakea - Rongai - Kamwanga ni barabara ambayo inakatiza katika Msistu wa Rongai na inapita maeneo yenye Kilimo. Warombo hawana budi kuitumia ipasavyo katika kujiendeleza Kiuchumi kwani kwa upande mwingine inaunganisha Nchi ya Tanzania na Kenya. Mkuu-Mwika-Marangu imetengewa fedha kwa mwaka 2012/2013 za kukamilisha maeneo viporo

      Delete